Nadhani ni allergy kuna rafiki pia yuko hivo kila asubuhi mchana mzima.Sijui matibabu yake exactly ila rafiki yangu huwa anatumia cetrizine kidonge kimoja kabla ya kulala.
Mimi nimeishi na hiyo hali kwa takribani miaka 20 bila ya kujua kuwa nina tatizo la alergy,ila baada ya kupata ushauri wa daktari ndio nikajigundua kuwa ni alergy, kuna dawa nzuri sana inaitwa Celestamine,unameza kidonge kimoja asubuhi na jioni,nakumbuka nilianza na vidonge 30,baada ya kumaliza ndio akaniambia kuwa inapotokea tena ndio unatumia dozi ya siku mbili au tau then unasonga na maisha,kiukweli zile chafya za asubuhi ni almost zimekata kabisa,shida yangu huwa nikakaa kwenye Ac muda mrefu au kuna baadhi ya perfume nikitumia huwa zinaniletea shida au hata nikikaa sehemu yenye mavumbi huwa napata hiyo hali ya kupiga chafya sana.Ushauri,tafuta specialist wa ENT(Ear,Throat na Nose) atakupa msaada mzuri sana.
HII KITU INANISUMBUA SANA..Mimi nimeishi na hiyo hali kwa takribani miaka 20 bila ya kujua kuwa nina tatizo la alergy,ila baada ya kupata ushauri wa daktari ndio nikajigundua kuwa ni alergy, kuna dawa nzuri sana inaitwa Celestamine,unameza kidonge kimoja asubuhi na jioni,nakumbuka nilianza na vidonge 30,baada ya kumaliza ndio akaniambia kuwa inapotokea tena ndio unatumia dozi ya siku mbili au tau then unasonga na maisha,kiukweli zile chafya za asubuhi ni almost zimekata kabisa,shida yangu huwa nikakaa kwenye Ac muda mrefu au kuna baadhi ya perfume nikitumia huwa zinaniletea shida au hata nikikaa sehemu yenye mavumbi huwa napata hiyo hali ya kupiga chafya sana.Ushauri,tafuta specialist wa ENT(Ear,Throat na Nose) atakupa msaada mzuri sana.
Pole...Eeechaaaaaaaa!!!!
Pole...
Ukitumia dawa tu bila kwenda kumuona specialist sio vizuri.asante mkuu ntajaribu hizo dawa naamini nami
ntapona