Kwanza lazima uwe na ISO file.Kama huna unatakiwa kucreate.Mimi nakushauri kutumia Any To ISO Tool(inapatikana kwenye torrent). Binafsi nimetumia PowerIso lkn kuna wakati ISO file linakataa kuboot kwenye USB!
Kwa kawaida mimi natumia Any To ISO Pro kutengeneza ISO file,kisha natumia Win7 USB DVD Tool(kwa windows) AU LinuxLive USB Creater (kwa linux/ubuntu) kucreate bootable usb
Nimejaribu kuattach hapa hizo softwares zote(3) lkn net inazingua,nimekwama.Ila unaweza kugoogle zote zinapatikana.