Msaada juu ya bayport

Msaada juu ya bayport

paulndasi9

Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
83
Reaction score
9
Naombeni msaadaa juu ya hii baypotr mimi nimeekopa mkopo wa miaka mitano na vigezoo vyootee tukawa tume kubaliana sasa cha kushangazaa hawa jamaa wana kata kimaaa cha juuu saana nina takiwa nibaki na moja ya tano ya mshala wangu lakini hata hiyoo siiipatiii basic saly ni 360000tsh nikipigaa hesabuu wao wananikata kama 220000tsh nimeendaa ofisi zaoo wameniambia mtandaooo ulikua una sumbua wakatiii huu ni mweziii wa nnee sasa wananikata hivyooo naombeeni msaada wenuu nifanyeejeee
 
Wafanyakazi wa Tanzania mtakufa kabla ya wakati. Laki 3.6 ni basic salary? Au wewe ni mfagizi?
 
peleka mahakamani hao jamaa kwani wanausumbufu sana na ukiangalia madeni yao huwa hayaishi
 
Mkuu hapo umeingia choo cha kike, hao jamaa ni majambazi tena bora wale wanaotumia bunduki. hiyo watakata mpaka mwisho na mwisho inaweza ikawa miaka saba sio mitano.
 
Riba ni kias gani hizo micro finance,pole lakini mkuu inawezekana umechukua mkopo mkubwa sana
 
yaweza kuwa ume renew mkopo ama umechezewa rafu kwenye mkatab pitia mkataba wako ama fikisha miez sita kawa uzie crb ama benk zingine ,bayport n wezi
 
Nishawahi fanya kazi Bayport, Yan usithubutu tena kukopa Bayport ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom