Hahahhahaha yani wewe una smartphone lkn huna apps za muhimuu......Sio mbayaa lkn download Adobe Reader kwa PC na simu pia kwa ajili ya kufungua PDF,pia Download WPS office ipo playstore kwa simu kwa ajili ya kusoma PowerPoint,,,,,,Pia download Foxit Reader kwa PC yako ni nzuri SNA kwa kusomea PDF.