Msaada juu ya Allergy hii ya ajabu

pascal luoga

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
232
257
Nina allage ya ajabu inanisumbua

- Huwa nikikata kachumbali mchuzi wa nyanya usinidondokee kwenye hiki kidole

- Nikisaga kitunguu maji, swaumu ama tangawizi majmaj yake yasiguse hiki kidole

- Nikila chakula mchuzi wa samaki or rost ikiahika kwenye hiki kidole kosa.

VYOTE HAPO JUU NI KOSA KUVIFANYA.
Vinaniletea aleji kwenye hiki kidole kama mnavyoona, Niliuguwaga vidole vyote vya huu mkono nikapata matibabu vyote vikapona kikabaki hiki kimoja tu,

Sababu ya hiki kidole mpaka leo kuendelea kuwa hiv ni kilichelewa kupona hivyo nikawa nakipuuzia so kinapungua then baadae kinaibuka tena ,kinapungua then baadae kinaibuka tena. ILA KUNA KITU KINGINE NIKISHIKA NDO KINAIBUA UGONJWA KWENYE HIKI KIDOLE sababu vya hapo juu vyote sivifanyi.

KUANZA KWAKE
huwa vinatoka vipele vidogo vidogo vingiiii then vinaanza kukauga vikikauka ngozi ndo inakuwa kama hivi [picha]

NAOMBENI USHAURI JUU YA DAWA YA HII ALEJI.

Kikipona kabisa kuwa kama haiendelei, ishu ni kwamba kikiaanza kupona kuna kitu kingine kinanidhuru ambacho sikifahamu
IMG_20200627_151829.jpeg
 
Back
Top Bottom