M malembeka18 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,922 Reaction score 4,714 Feb 8, 2024 #1 Habar wakuu Nina juicer machine yenye uwezo wakukamua mboga zamajani kuwa juice na makapi yake yanakua pembeni na nabakia na juice ..wakuu nauliza Kuna madhara yakukamua mboga za majani bila kuchemsha nakutoa juisi yake nnkainywa
Habar wakuu Nina juicer machine yenye uwezo wakukamua mboga zamajani kuwa juice na makapi yake yanakua pembeni na nabakia na juice ..wakuu nauliza Kuna madhara yakukamua mboga za majani bila kuchemsha nakutoa juisi yake nnkainywa
njumu za kosovo JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 4,853 Reaction score 11,782 Feb 8, 2024 #3 Nawaza hapa juice ya mchunga na mchicha inakuaje jibu sipati kabisaaaa
miviga JF-Expert Member Joined Jan 27, 2024 Posts 2,395 Reaction score 8,602 Feb 8, 2024 #4 Aah mfano ya matembele ni nzuri kwa damu, bamia kulainisha joint, hayo mengine sijui
M malembeka18 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,922 Reaction score 4,714 Feb 8, 2024 Thread starter #5 Wanasema eti sababu mboga za majani zinapuliziwa madawa
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 25,065 Reaction score 61,401 Feb 8, 2024 #6 Haina shida mbona wanyama wanakula Makamu hawapiki na kuna watu hata nyama wanaila haiivi sana
M malembeka18 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,922 Reaction score 4,714 Feb 8, 2024 Thread starter #7 ndege JOHN said: Haina shida mbona wanyama wanakula Makamu hawapiki na kuna watu hata nyama wanaila haiivi sana Click to expand... Namaanisha hizi mboga mboga zetu zinazokuzwa kwakumwagiliwa madawa zisife Wala kuharibika
ndege JOHN said: Haina shida mbona wanyama wanakula Makamu hawapiki na kuna watu hata nyama wanaila haiivi sana Click to expand... Namaanisha hizi mboga mboga zetu zinazokuzwa kwakumwagiliwa madawa zisife Wala kuharibika
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 25,065 Reaction score 61,401 Feb 8, 2024 #8 malembeka18 said: Namaanisha hizi mboga mboga zetu zinazokuzwa kwakumwagiliwa madawa zisife Wala kuharibika Click to expand... Ila kwa kuwa kuosha hakuondoi vijidudu ni heri uzipike kwanza kuwaua
malembeka18 said: Namaanisha hizi mboga mboga zetu zinazokuzwa kwakumwagiliwa madawa zisife Wala kuharibika Click to expand... Ila kwa kuwa kuosha hakuondoi vijidudu ni heri uzipike kwanza kuwaua
M malembeka18 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,922 Reaction score 4,714 Feb 8, 2024 Thread starter #9 ndege JOHN said: Ila kwa kuwa kuosha hakuondoi vijidudu ni heri uzipike kwanza kuwaua Click to expand... Ukizipika ukasaga juisi ikoje sivurutubishi hakuna
ndege JOHN said: Ila kwa kuwa kuosha hakuondoi vijidudu ni heri uzipike kwanza kuwaua Click to expand... Ukizipika ukasaga juisi ikoje sivurutubishi hakuna
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 25,065 Reaction score 61,401 Feb 8, 2024 #10 malembeka18 said: Ukizipika ukasaga juisi ikoje sivurutubishi hakuna Click to expand... Hapana boiling temperature isiwe kubwa sana just dakika 5
malembeka18 said: Ukizipika ukasaga juisi ikoje sivurutubishi hakuna Click to expand... Hapana boiling temperature isiwe kubwa sana just dakika 5
M malembeka18 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,922 Reaction score 4,714 Feb 10, 2024 Thread starter #11 ndege JOHN said: Hapana boiling temperature isiwe kubwa sana just dakika 5 Click to expand... Hizi dakika5 sumu itakua imeisha kweli
ndege JOHN said: Hapana boiling temperature isiwe kubwa sana just dakika 5 Click to expand... Hizi dakika5 sumu itakua imeisha kweli