Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,550
Sawa mkuu...Subiri watakuja au wasilina na chuo
Nmekupm mkuuPM tafadhali..
Hawana hata namba zao hazipatikaniMkuu Hawana Website Hicho Chuo?
Hawana hata namba zao hazipatikani
Lini wataleta confirmation baada ya second batch or?Subiria chuo kitawasiliana na wewe na tembelea profile yako mara kwa mara.
Daaah hata sijui mwenyewe nimewasiliana na chuo wananiambia bado mara hawajui hata joining zitatotoka liniLini wataleta confirmation baada ya second batch or?