zima simu .then bonyeza kitufe cha kuzima simu na cha kupunguza sauti hama kuongeza..endelea kushikilia mpaka ionyeshe menu ya maneno..kwenye hayo maneno utaona reset phone ukibonyeza halo utafuta kila kitu simu itaanza upya..tatizo litakuja kama itakuwa imeandikwa kichina lakini kama ni kingereza itakuwa raisi ...usisahau mrejesho