Wadau vipi
JF ndo kila kila kitu yan,
Nmekuja tena kuomba msaada wa na namna nitatengeneza logo nzuri yenye kuakis kazi zangu....
Tunajihusha na shughuli za kilimo, kulima, kukusanya na kusambaza products zote zitokanazo na mpunga na mahindi

1) je, unajua kutumia computer? (i mean zile basics) km ndio hapo ndo pakuanzia tafuta programs za kufanyia designing km photoshop au Adobe illustrator then baada ya hapo tafuta tutorials za kujifunza unachotaka kujifunza (zipo nyingi sana youtube).
2.) Kama kutumia computer haujui (japo unaweza kujifunza) nakushauri utafute wataalam wa kutengeneza logo wakufanyie hiyo kazi.