Msaada Jinsi ya kuskip WIFI NETWORK kwenye Tecno N6

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,292
Reaction score
6,769
Nimefanya HARD-RESET inashindwa kumaliza na inaishia kusearch
Wifi network, ile option ya kuskip imefaint nifanyeje?
 
Hahahaa kaka hiyo ni FRP (Factory Reset Protection) ambayo ni security mpya ya android kwenye sim zenye latest OS, Kuivuka io hatua unatakiwa ku connect na strong Wi-Fi signal na kueka Gmail na password yako ilokuepo awali, au kama umeiba ni vizuri ukamrudishia mwenyewe, na njia nyingine ni kwa kutumia NCK Box crack utafanikiwa 100%...
 
Hahahaa kaka hiyo ni FRP (Factory Reset Protection) ambayo ni security mpya ya android kwenye sim zenye latest OS, Kuivuka io hatua unatakiwa kueka Gmail na password yako ilokuepo awali, au kama umeiba ni vizuri ukamrudishia mwenyewe, na njia nyingine ni kwa kutumia NCK Box crack utafanikiwa 100%...
Kabla sijaenda kwenye NCK box crack nataka kujua hiyo Gmail naipata vipi maana haifiki huko.
 
Mkuu ukisha kua connected na Wi-Fi sim yako ita load kidogo ku update OS then itakuja iyo hatua sasa ya kujaza account yako,,, It's just a step ila kama huna taarifa kamili za account yako basi itakulazimu kufanya kama nilivokuelekeza hapo awali....
 
njooo nikutolee kwa buku tano niko dar
Nimefanya HARD-RESET inashindwa kumaliza na inaishia kusearch
Wifi network, ile option ya kuskip imefaint nifanyeje?
niku
 
Hahahaa kaka hiyo ni FRP (Factory Reset Protection) ambayo ni security mpya ya android kwenye sim zenye latest OS, Kuivuka io hatua unatakiwa ku connect na strong Wi-Fi signal na kueka Gmail na password yako ilokuepo awali, au kama umeiba ni vizuri ukamrudishia mwenyewe, na njia nyingine ni kwa kutumia NCK Box crack utafanikiwa 100%...
Hio kitu niliipitia kwenye simu moja juzi nikajua kua hio simu ilipigwa sehem lakini mwanadada kutokan na uelewa wake finyu akawa analazimisha tu kua ni yake imebaki kama kopo
 
Tatizo hata huko kwenye kudai password haifiki
 
Hio kitu niliipitia kwenye simu moja juzi nikajua kua hio simu ilipigwa sehem lakini mwanadada kutokan na uelewa wake finyu akawa analazimisha tu kua ni yake imebaki kama kopo
Nipeni mimi iyo sim,,, sekunde ni kubwa sana kwangu kuondoa hiyo kitu...
 
Inaonekana kaka hta kuconnect wifi bdo hujaweza cha msingi kama unaikumbuka email na password uliyokuwa ukitumia awali katika hyo simu kazi ni rahisi, tafuta mtu akusaidie kuconnect wifi kisha itafuata hatua ya kujaza email kisha password
 
Kabla sijaenda kwenye NCK box crack nataka kujua hiyo Gmail naipata vipi maana haifiki huko.
Mkuu hiyo ishu ilishawahi nitokea na mimi, tatizo humu kila mtu anajibu tu hajui hata hiyo hali inakuaje.

Mi nilienda kuflash mkuu ndio ikawa ponapona yangu, zaidi ya hapo no way out

Slippy Gerald, you served football.
 
Hawajui mkuu, nimeflash imekubali.
 
ingia chimbo tu..utaweza itoa iyo FRP lock. kwa samsung ni rahisi baada ya kuidowngrade sema kwa tecno sijawahi jaribu
 
Back
Top Bottom