Tafuta fundi umpe elfu 15 Kisha kaa nae karibu kumuuliza jinsi ya kufunga hapo utapata mwanga lakini kufundishwa kuset jf hautojua.
Wana Tech,
Nimepatwa na tatizo la kuset kidish kidogo. Nina set zifuatazo,
1. Dish dogo tu size kama ya Zuku vile sihitaji dish kubwa.
2. Ku Universal LNBF
3. Receiver aina ya Digitek Plus
Nashindwa kuelewa niset direction ipi ili niweze kupata local channels, shida yangu ni local channels hizo zingine hata zisipopatikana ni sawa tu.
Nimejaribu kuchek satellite nikaona Intelsat 906, 64E.
Naombeni msaada jinsi ya kuelekeza dish, frequencies nadhani sio ishu sana. Nikishapata signal nzuri nitatafuta frequencies za channels mbalimbali...
Asante..

Usijisumbue na kidish chako kidogo maana hakiwezi kuikamata intelsat 906.hiyo sat inakamatika kwaadish kuanzia ft6 na lnb cband
Mkuu hilo dish na hio lnb funga muelekeo wa Amos5 @17°E utapata local zote.Ni vizuri ukamtafuta fundi kama huna uzoefu hata kidogo.
Fanya ujifunze sana kiongozi.
Kila kitu ni kujifunza tu, unayo satellite finder??
Hapana mkuu sina sattelite finder ila kitambo kuna jamaa yangu nilikuwa nasoma nae sec alinipa sat finder ile yenye mshale kama wa voltmeter nikaipoteza ila ninaweza kununua tena kama zinapatikana.
hizo za mshale its better ukatafuta tu app ya smartphone
satfinder nzuri andaa laki 4. Hapo utakuwa umemaliza kazi ila kama huna uwezo unaweza ukatumia rcv ya kawaida kama vile mediacom 930+ huwa zipo vizuri sana
Kaka mambo VIPHongera na kila la heri mkuu
Mkuu Spacecom has lost contact with amos 5...so far the satellite is downkwa hiyo LNBF ya ku huwez pata tz local channels ktk intelsat 906 labda jaribu amos5.you can get them at intelsat 906 by using c band lnbf