Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 3,084
- 4,474
Habarini wakuu,poleni kwa majukumu ya kila siku.
Kama topic inavyojinadi hapo juu,,nilichomeka flash drive ili kuinstall game kwenye PC ya ndugu yangu. Baada ya hapo mafaili yote, nyimbo pamoja na videos zilizokuwepo mwanzo kwenye flash zinasoma hivi FILE0000.CHK
Naomba msaada kama kuna uwezekano wa kurecover.
Karibuni