Wakuu wa jukwaa,poleni na mihangaiko ya kila siku ya kutafuta chapaa ili maisha yasonge.
Nimekuwa nikiomba msaada sana jinsi ya kuroot simu yangu ya huawei mate 8 bila mafanikio,nashukuru kwa baadhi ya wataalamu wa jukwaa waliokuwa wakinipa mchango wao lakini kiukweli ni michango iliyokuwa haijitoshelezi...
naombeni mnisaidie tena step kwa step n jinsi gani nitaweza kuiroot simu yangu..nimefuatilia mpaka youtube lakini bado nakwama...
naamini hamna linaloshindikana humu ndani...ebu nisaidieni basi namimi niifurahie simu yangu...natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa kutoka moyoni...asante.