Habari wakuu naombeni msaada wa kufanya recover bila kufuta data yoyote coz pc ina document muhimu sana ina kazi ya za watu tano mbili website tatu ni software na project zangu mbili muhimu sana naombeni msaada

Njia zote zikishindikana piga windows juu ya windows mafile yako utayakuta kwenye windows old folder kwenye local disk c uyahamishe then ulifute.
Kumbuka wakati wa kufanya hivyo usifomat hdd

Ukuweka partition ?, Fanya kubebesha window tu install window nyingine Vila kufuta io kama ulipiga window 10 jaribu kuinstall window xpau 7 zisifanane na io I'll crash then recover data zako hope itasaidia