Bungukwetu
Member
- Jan 24, 2017
- 34
- 14
Mimi nimewahi tumia Payoneer account kupokea pesa kama miaka miwili iliyopita kipindi hicho Payoneer wana partnership na Bank of America sijajua kwa sasa kama partnership yao ipo sababu sijatumia muda mrefu, kilichokuwa kinafanyika ni kwamba ukiwa na card ya Payoneer basi unapewa account virtual bank account katika Bank of America ambapo ukishakuwa na account BOA inakuwa rahisi kulink na paypal sasa hii ikaenda ikanza kuleta shida upande wa ebay watu hawapati refunds zao inapotokea wanaomba refund baada ya malalamiko toka kwa watumiaji ndio ikabidi ianze kureject card za Payoneer na mimi ndio sikutumia tena ila nadhani ndio maana hadi jamaa sahivi wanatumia bank nyingine, Serikali especially BOT waliangalie sana hili swala maana wanakosesha watu wengi sana hela, kulikuwa na Petition ya ku convice Paypal na BOT walitazame ili hii issue iwe solved naona hamna supporters wa kutosha, inapatikanaKwa wale wenye experience na online business naomba mnisaidie ni jinsi gani nitaweza kupokea malipo kupitia Paypal.
Kuna threads zilikuwa zikiongelea payoneer kuwa mbadala wa Paypal lakini baada ya kupata ATM card ya Payoneer nimekuta nivitu viwili tofauti.
Nafikilia kufungua account Kenya (wao unaweza kutuma na kupokea malipo kupitia Paypal) lakini requirements ningumu kidogo:
Washirika wangu wana option mbili tu Bank transfer na Paypal, na nimeambiwa ukitumia normal bank transfer malipo yanaweza kukufikia baada ya siku 30.
Thank you!
Emb jaribu kufanya hivi mkuu fungua account yako ya paypal kama kawaida kisha nunua line ya safaricom ya kenya around (15-20 Tsh) na pia uwe na voda yenye mpesa then baada ya hapo una link account ya paypal na line ya safaricom then unatuma hela kuja mpesa.jaman ndg naomben msaada juu ya kufungua paypal account yeny uwezo wa kupokea hela Tanzania