Nenda kwenye ofisi za NIDA za wilaya uliopo utapata maelekezo yote huku utapata majibu ya shombo maana watu washavurugwa na Idd ya mafungu. Tanga na Kagera, Uganda, Kenya na Rwanda wamesherekea leo. Sasa sijui kama kesho Bakwata watasema Idd iliisha jana(yaani leo) au la.