Msaada jinsi ya kupata materials za vyuo mbalimbali

Msaada jinsi ya kupata materials za vyuo mbalimbali

Joined
Oct 13, 2016
Posts
94
Reaction score
21
Ndugu wana jf habari za wakati nahitaji msaada jinsi ya kupata material ya vyuo mbali mbali na kudownlod
 
subir lecturers watoe course outline za course mtazosoma semista nzma ndo ztakuelekeza material ya ku2mia kjana. utabeba na visivyotakiwa kusoma uingie gharama bure
 
Chuo sio kama A level au O level
Subiri kitakachofundishwa na mwalimu(lecturer) wako ndo utakifanyia kazi, na usipoelewa ndo utafute njia ya kuelewa zaidi.
Usihangaike kutafuta papers au material za vyuo vingine hata kama mnasoma degree programme inayofanana
 
Kwa UDOM material unayakuta ktk account yako (SR). Unadownload na kuyasoma. Hivyo ukiyahitaji na haupo UDOM basi muombe anayesoma hiyo program UDOM ayadownload then akutumie. Kwa vyuo vingine sijui.
 
Back
Top Bottom