Ale vyakula sahihi kwa muda sahihiWataalam habari.
Naomba kuuliza, ni namba gani ya kupandisha Kinga ya mwili iliyopo chini kwa mtu ambaye siyo muathirika wa UKIMWI
Hapo tumia kitu aliwahi kushauri Prof Jizee alisema 1. KULA VIZURI, 2. FANYA MAZOEZI NA 3. PUMZISHA MWILI WAKO...... Naaa una uhakika gani kuwa kinachokusumbua ni kinga ndogo ya mwili na sio kinga ya mwili kuzidi. Ungeachana na kinga ukatafuta zaidi AFYA.Wataalam habari.
Naomba kuuliza, ni namba gani ya kupandisha Kinga ya mwili iliyopo chini kwa mtu ambaye siyo muathirika wa UKIMWI
Good sleep, fasting/water fasting, organic foods, stop eat: (meat, wheat, coffee, sweet, sugar, energy drinks, other canned products), physical exercise, connect to the nature, Drink pure water, etcWataalam habari.
Naomba kuuliza, ni namba gani ya kupandisha Kinga ya mwili iliyopo chini kwa mtu ambaye siyo muathirika wa UKIMWI