Sina jibu ila jaribu hivi
1) jaribu ku install tena hizo software uzioverwrite then jaribu ku un install
2) kama uli install software katika memory card jaribu kuingiza memory card kwenye s60v3 simu design yake ie. N73, n95, e71, e72, e5, e75, n80, 5370 na zengine kama hizo
3) jaribu kutoa memory card kwa mda then rudisha halafu jaribu ku uninstall
4) kuna software zipo za ku unistall but ni unsigned [NokiaVNN.com] app Uninstall v1.3.0 unaweza search kama ipo signed yake na kama una certificate unaweza isign
5) kama umeshindwa yote fanya hard reset toa memory card then zima simu bonyeza nyota (*) namba tatu (3) na button ya kupigia simu (ya kijani) kwa mpigo then washa simu
Onyo: ukifanya hard reset ni sawa na kuflash utapoteza data zote