Aaaaah we kausha tu.... mie nilipewa 1 Year ulivyoisha nika uninstall then nikainstall tena haaaa haaaa life time hata nibadili simu ila the same number huwa ni life time..... View attachment 162841
Mimi ilikuwa inaisha june 25 mwaka huu ila kama wiki 2 zilizopita nikatumiwa msg kwamba ita expire june 25 2015 bila hata ya kulipia chochote. Inawezekana na wewe ukatumiwa hiyo msg maana na mimi nilikuwa nawaza jinsi gani ya kulipia.