the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,929
Uninstall na install tena.....maana nyingine ifute alafu uidownload tena
Natumia whatsapp kwenye blackberry 9800 na nashukuru ni watu wa mwanzo kujiunga na whatsapp kwahiyo muda wangu majaribio whatsapp kwangu nilipewa miaka miwili,sasa mwezi July namaliza muda wa majaribio natakiwa kuilipia sasa account ambayo mimi ninayo ni ya crdb pekee,je inafaa kulipia!?kama haifai ni jinsi gani nitafanikisha maana kufungua account ya paypal kwangu ni ngumu sana!natanguliza shukrani
kaka tatizo lako ninalo pia.mimi mwisho ni mwezi wa8 nafikiria kumtafuta mtu mwenye paypal account anilipie then mimi nitamtoa ya vocha.hata mimi sitaki kubadili no nyingine tenaNatumia whatsapp kwenye blackberry 9800 na nashukuru ni watu wa mwanzo kujiunga na whatsapp kwahiyo muda wangu majaribio whatsapp kwangu nilipewa miaka miwili,sasa mwezi July namaliza muda wa majaribio natakiwa kuilipia sasa account ambayo mimi ninayo ni ya crdb pekee,je inafaa kulipia!?kama haifai ni jinsi gani nitafanikisha maana kufungua account ya paypal kwangu ni ngumu sana!natanguliza shukrani
Kumbe whatsapp hua inalipiwaa???
kwa nchi nyingi Africa ila sina uhakika sana Ni zipi ila Tanzania inclusive hawalipii whatsapp..., me nlianza kutumia 2011 but sijawahi lipia had Leo ikifika Siku ya ku expire wanakwambia wamekuongezea mwaka mwingine hii Ni kutokana na mufumo ya kulipia online kuwa haijakaa vizuri bado kwetu... , so mkuu usiwe na wasiwasi
minadaiwa US$0.99 za whatsapps.kwa pesa za kitanzania ni sawa na sh. ngapi jamani,msaada please