Kama line ya voda kwa dsm vodacon wana micro chips utainunua kwa 2500 ila uwe umehamisha data zako ktoka simcard ya sasa maana wabakuwekea kapya . Kwa mitandao mingine sijui kama wameshaleleta microchips nilijaribu kukatia kwa s/dealer wa voda wajakisea!!!!!wakaniagizia vodashop
Ukiwa makini unaweza kukata mwenyewe kwa mkasi, ila kabla kukata tafuta line ya majaribio, ukifanikisha unaitumia kugandamizia kukata line unayotumia
Mimi nilishafanya mara mbili kwa mafanikio