hapo mkuu tafuta mtu mwenye nayo hiyo micro sim.ndio ugandamizie ukate na mkasi hata dk moja haishi,ila ukisema ubahatishe utamaliza hata box zima.Kama una hela nenda voda/tigo/airtel wakukatie kwa shilingi elfu 4!!!hata sekunde haiishi.We azima kwa mtu mwenye line ya size hiyo kata mwenyewe.