Msaada: Jinsi ya kujiunga SMS za bure

Teh...yan umeamka na wazo km hilo au ndo akili za usiku.∆
 
Wana JF,

Anayejua kujiunga sms za bure mtandao wowote.

Naomba msaada
 
acha kupenda bure kuijana kuna jela
 
Bonyeza reli mara nne.
 
Ukitaka Kupata SMS za Bure. Huduma. Hii inapatikana Maeneo ya Kanda ya Ziwa Pekee. Huitaji kujiunga
 
Kijana vya bure gharama. Ila kwa kukusaidia idumbukize simu kwnye maji huku ukiwa umeshikilia * na # kwa pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…