Msaada jinsi ya kujiunga na seebait

Abu Haarith

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
314
Reaction score
165
Habari ndugu zangu katika teknolojia nahitaji msaada wenu ni wiki kadhaa sasa kuanzia nimejiunga na mtandao wa matangazo wa hapa bongo wa seebait lakini nashindwa jinsi ya kui-verify akaunti yangu ili niweze kupata code za matangazo na yaonekane katika blog yangu kwa wale wanaofahamu naomba msaada wenu

natanguliza shukrani
 

Mkuu tuwasiliane PM nikusaidie.

Karibu sana Seebait.
 
Huo msaada umesha upata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…