cmb eazy New Member Joined Dec 12, 2016 Posts 4 Reaction score 0 Dec 27, 2016 #1 Habari zenu wana jamiiforum.. Yeyote anayefaham kuhusu hatua za kufuata ili kuweza kujiunga na kozi za udereva katika chuo cha taifa cha usafirishaji (NIT) nahitaji msaada wa maelekezo
Habari zenu wana jamiiforum.. Yeyote anayefaham kuhusu hatua za kufuata ili kuweza kujiunga na kozi za udereva katika chuo cha taifa cha usafirishaji (NIT) nahitaji msaada wa maelekezo
kayaman JF-Expert Member Joined Aug 3, 2013 Posts 4,516 Reaction score 10,442 Dec 27, 2016 #2 ingia kwenye website yao naamini utapata majibu!
K KibonaD New Member Joined May 8, 2016 Posts 1 Reaction score 1 Jan 13, 2017 #3 Kama upo dar ni rahisi, tembelea ofisi zao za mabibo
B Bacary Superior JF-Expert Member Joined Jul 3, 2014 Posts 3,721 Reaction score 1,515 Jan 14, 2017 #4 Unaishi wapi