Msaada: Jinsi ya kujisomea A level

Msaada: Jinsi ya kujisomea A level

Unajisomea tu hata kitandani ukiwa umejifunika, huku wengine wakiwa "night preparation"

Sanaa simple sanahaiitaji kukamia

Kiima na kiarifu tu, ya nini kujitesa?
 
somea toilet au bed wakatii mwingine ukiwa na manka wako yani kama hutaki vile.....teh teh
 
Chukua kitabu au daftari halafu ufunue na uyasome yaliyo andikwa.
 
We unasoma sanaa so ukiangalia sanaa za maigizo zitakusaidia sana
 
Mi nilikua naingia library masaa mawili kila siku muda mwingine wote ni kulala,kupiga mziki dorm, kusoma novel na kufurahia maisha, darasani kuingia nikipenda
 
Back
Top Bottom