Habari za wakati huu waungwana.
Bila kupoteza muda niende kwenye mada husika.
Ninaomba kujua jinsi ya kuzipata Post Code na kuzijaza kwenye field mbalimbali ambazo zinahitajika..
Kwa case yangu ninataka nizijaze kwenye Googgle Adsense kwenye Website yangu.... nimehangaika nimeshindwa.
MSAADA WENU WADAU!!!!!!!