Msaada: Jinsi ya kuitambua Samsung galaxy S3 original

Msaada: Jinsi ya kuitambua Samsung galaxy S3 original

john kay

Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
49
Reaction score
9
Kuna jamaa anataka kuniuzia nahitaj masaada wenu maana Copy ni nying sana
 
Dial *#1111# itakupeleka kwenye service menu hapo utaweza kutest kila kitu. Lights ,vibration, camera ,
Kama ni clone haitakubali service menu
 
Hio ni kwa Nokia ...pia unaweza ukatumia *#*#4636#*#* under' phone information' network mode angalia kama inauwezo Wa kupata 4G/LTE network
 
Back
Top Bottom