MpakwaMafuta Member Joined Jan 28, 2011 Posts 42 Reaction score 14 Mar 10, 2014 #1 wakuu mwenye uelewa na hiyo kitu hapo juu msaada wake tafadhali
Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,926 Reaction score 1,159 Mar 10, 2014 #2 MpakwaMafuta said: wakuu mwenye uelewa na hiyo kitu hapo juu msaada wake tafadhali Click to expand... Tafuta program inaitwa win to flash, na uitumie kuload window files kutoka ktk cd ya window kwenda kwenye flash.
MpakwaMafuta said: wakuu mwenye uelewa na hiyo kitu hapo juu msaada wake tafadhali Click to expand... Tafuta program inaitwa win to flash, na uitumie kuload window files kutoka ktk cd ya window kwenda kwenye flash.
KAJICHO KIVULI JF-Expert Member Joined Jul 30, 2013 Posts 2,061 Reaction score 546 Mar 15, 2014 #3 Check na post ya MziziMkavu hapa; https://www.jamiiforums.com/jf-store-enjoy-this/570332-install-windows-xp-from-usb.html enjoy++ MpakwaMafuta said: wakuu mwenye uelewa na hiyo kitu hapo juu msaada wake tafadhali Click to expand...
Check na post ya MziziMkavu hapa; https://www.jamiiforums.com/jf-store-enjoy-this/570332-install-windows-xp-from-usb.html enjoy++ MpakwaMafuta said: wakuu mwenye uelewa na hiyo kitu hapo juu msaada wake tafadhali Click to expand...
Joez Member Joined Apr 22, 2014 Posts 27 Reaction score 14 May 29, 2014 #4 Its easy km unasoftware zfuatazo USB to ISO, UNIVERSAL USB INSTALLER au POWER ISO kuanzia vesion 5 nakuendelea
Its easy km unasoftware zfuatazo USB to ISO, UNIVERSAL USB INSTALLER au POWER ISO kuanzia vesion 5 nakuendelea
N Noel 2014 JF-Expert Member Joined Apr 11, 2014 Posts 718 Reaction score 292 May 31, 2014 #5 Msaada, namna ya ku instore wind 8 32 bits kwenye e-machine min laptop. Kuna app kibao zinagoma kufanya kaz aiseee.
Msaada, namna ya ku instore wind 8 32 bits kwenye e-machine min laptop. Kuna app kibao zinagoma kufanya kaz aiseee.
josafe90 Senior Member Joined Feb 26, 2014 Posts 117 Reaction score 28 May 31, 2014 #6 Hapo unahitaji vitu viwili vikubwa. Kwanza hiyo window iwe kwenye ISO format,kisha flash iwe bootable (waweza tengeneza kwa refus or power iso.)
Hapo unahitaji vitu viwili vikubwa. Kwanza hiyo window iwe kwenye ISO format,kisha flash iwe bootable (waweza tengeneza kwa refus or power iso.)
josafe90 Senior Member Joined Feb 26, 2014 Posts 117 Reaction score 28 May 31, 2014 #7 Noel 2014 said: Msaada, namna ya ku instore wind 8 32 bits kwenye e-machine min laptop. Kuna app kibao zinagoma kufanya kaz aiseee. Click to expand... Mkuu tafuta w8.1 ndo ipo poa kidogo.
Noel 2014 said: Msaada, namna ya ku instore wind 8 32 bits kwenye e-machine min laptop. Kuna app kibao zinagoma kufanya kaz aiseee. Click to expand... Mkuu tafuta w8.1 ndo ipo poa kidogo.
A Ashruq Member Joined Feb 15, 2013 Posts 18 Reaction score 5 Jun 1, 2014 #8 Mi mwenyewe nimeinstall window 8 32 bit kwenye mini ila nkifungua software za window inaniambia nirekebishe resolution ..nikienda haibadilishiki imeweka kivuli..
Mi mwenyewe nimeinstall window 8 32 bit kwenye mini ila nkifungua software za window inaniambia nirekebishe resolution ..nikienda haibadilishiki imeweka kivuli..