msaada jinsi ya kuistall windows xp from usb flash drive

msaada jinsi ya kuistall windows xp from usb flash drive

Its easy km unasoftware zfuatazo USB to ISO, UNIVERSAL USB INSTALLER au POWER ISO kuanzia vesion 5 nakuendelea
 
Msaada, namna ya ku instore wind 8 32 bits kwenye e-machine min laptop. Kuna app kibao zinagoma kufanya kaz aiseee.
 
Hapo unahitaji vitu viwili vikubwa. Kwanza hiyo window iwe kwenye ISO format,kisha flash iwe bootable (waweza tengeneza kwa refus or power iso.)
 
Mi mwenyewe nimeinstall window 8 32 bit kwenye mini ila nkifungua software za window inaniambia nirekebishe resolution ..nikienda haibadilishiki imeweka kivuli..
 
Back
Top Bottom