Nafahamu mkuu, natafuta tu ujuzi wanadai kuna kujailbreak
Sawa mkuu..
Ngoja nijitahidi, sema YouTube ujanja ujanja mwingi wengi wanatafuta viewers!
Huwezi weka ios13. Huyu uliyemkuta inawezakana alikua tu na housing ya iphone 6 ila ni 6s. Or ame jailbreak kuweka tweaks za kuonekana kma ios 13 ila sio 13.Wakuu naomba msaada jinsi ya kuinstall ios 13, nimepita mtandaoni naona taharifa zinanichanganya tu.
Kama kuna mtu alifanikiwa/kafanikiwa naomba maelezo, nimeona hii beta version naomba cons na prons zake maana hii device haisuport hii os.
Nb: Kuna mtu nilimkuta ana iPhone 6, na ina ios 13 ila naye alikuwa hajui ameiweka vipi!
Shukrani.
Hata ukijailbreak huwezi pandisha kua ios 13. Unaweza tu install tweaks zitakazo baadhi ya features na muonekano wa ios 13 lakini kiukweli under the hood bado itakua ni ios 12 tuNafahamu mkuu, natafuta tu ujuzi wanadai kuna kujailbreak
Wakuu naomba msaada jinsi ya kuinstall ios 13, nimepita mtandaoni naona taharifa zinanichanganya tu.