Ukihitaji internet tuma neno "internet" kwenda 232, Na Ukihitaji wap tuma "WAP" kwenda 232,Na ukihitaji mms tuma "mms" kwenda 232. Watakutumia settings na uta accept. Pia kama ni simu inayohitaji manual configuration na ukaamua kutumia vodacom, watakutumia settings za kufanyia manual configuration kwa kutuma sms kwenda 15300 kwa mfumo wap>aina ya simu>model No. ya simu. Kumbuka kudanganya model No. kwa kuweka ya simu yoyote inayokubali auto configuration kama nokia 6030 n.k