Msaada jinsi ya kuhama chuo kwenda chuo kingine

Msaada jinsi ya kuhama chuo kwenda chuo kingine

Joined
Sep 19, 2017
Posts
14
Reaction score
10
Habari wana JF, nauliza ni vipi unaweza hama chuo ambacho umechaguliwa lakini hujaridhika nacho kwenda chuo kingine?

Naomba kusaidiwa muongozo wa kuhama chuo kwa mwaka huu 2017/2018
 
Usijisajili ulikochaguliwa. Nenda unakotaka kusoma.. omba nafasi.. ukipata Hyo nafasi nenda TCU waambie. Utakua umefanikiwa.
Mm nilifanya hvo
 
Back
Top Bottom