Changamoto ni kwamba Kanga hawaelewani na baadhi ya kuku hasa kuku wenye vihelehele.
Changamoto ya pili Kanga akitaga haatamii. So mpaka mayai umwekee kuku ndo atotoe.
Changamoto ya tatu utapaswa ununue au ulime majani au mboga za majani maana kanga wanapenda sana majani majani.
Uzuri wao hawaugui hasa wakipata majani mara kwa mara
Sent using
Jamii Forums mobile app