Nime assume unafahamu jinsi ya ku start command line kama administrator
List ya commands ni hii hapa
"Diskpart"
"List disk"
"Select disk x"(angalia flash yako ni namba ngapi kwenye list,usually ni 1 kama umechomeka flash 1.kwahiyo kwenye x utaweka hiyo number )
"Clean"
"Create partition primary"
"Active"
"Format fs=fat32 quick"
"Assign"
Ukimaliza copy windows setup files kutoka folder uliloliandaa kwenda kwenye flash kish restart u boot kutoka kwenye flash
Au kama unaa image file basi utumie software ya poweriso