Losambo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 2,611
- 867
Wadau kuna application ina Simu TV, appl hii inatikana sana kweny simu hizi smart phone kupitia Google Play Store. Ni application nzuri sana, sema nashindwa jinsi ya kupakua (kudownload) video. Kwa yoyote anayeelewa tafadhali naomba anielekeza.
Shukrani.
Shukrani.