Unachotakiwa kufanya bi ku~generate APk file.
Nenda build > build signed apk > kama huna key utahitaji kutengeneza key, fanya hivyo na hiyo key hakikisha unaitunza vizuri mno, yaani mtu akiipata ana uwezo wa kutengeneza app yake kwa kutumia package name yako na kuifanya yake. Ukimaliza kubuild utaona APK imekua generated kwenye source folder lako la "app".
Usisahau ku~enable ProGuard, nenda gradle settings tafuta "minify" set to true. Hii itazuia watu kupata source code yako na inasaidia sana ku~save size, 10MB zinaweza shuka hadi 3MB.