Sketch map inakuwa ni km
mchoro ambao unaweza kumpa mtu na akautumia kufika mahari
palipokusudiwa, ktk hili hakina scale, unachoweza fanya ni kuonyesha mf,
landmark oliyo karibu na kwako kisha ukaonyesha njia au vichochoro vya
jinsi ya kufika kwako, sijui km nimekusaidia