Msaada: Jinsi ya kublock no ya simu

rweyy

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
232
Reaction score
159
WanaJF naombeni mnisaidie jinsi ya kublock no ya simu kama sitaki anipate hewani angali no zingine zinanipata
 

Je mimi mwenye nokia 3120classic ntaweza
 
Bonyeza *35*0000# halafu ku unblock bonyeza #35*0000#
 
hii me huwa naitumia,lakini hapa watu wote watakukosa,hutopata call wala sms,kwa hyo haina manufaa xana.

Ina manufaa pale ambapo ukizima simu ni kesi so unasema hukuzima tatizo ni network!
 
Mimi nainjoy na mchna wangu, kuna blacklist and u can add up to 20 numbers....inabadilisha sauti pia...nshamkomesha mdada mmoja, nilimwekea sauti ya kike...hajanitafuta tena.
 
Mimi natumia nokia N72
 
Divert namba yako kwenye namba hiyohiyo yako-eg no yako ni 0713100100, njoo kwenye divert calls then uidivert kwenye namba hiyohiyo-watu wote wakikupigia itabidi warudie hata mara 5 au na zaidi ndo wakupate-maana wataambiwa namba unayopiga haipo-ichunguze tena-japokuwa inaweza kuita kwake mara moja tu then akaambiwa hayo maneno-kwako wewe utaona kama amekubip-

Mimi nishaitumia hiyo njia-inapunguza usumbufu-maana mtu akibipu ujue kwake kapiga na kaambiwa hiyo namba haipo.

Tatizo la hii njia ni kwamba inabidi wale watu muhimu ukiona wanakupigia then inaingia as missed call-wewe ndo unatakiwa uwapigie-then utasingiuzia mtandao.

SMS zinakuwa zinafika pasipo tatizo
 

Asante nijaribu hiyo njia
 
Wewe mwenye n72 download netqin mobile guard itakuxaidia kublock namb za wa2
 
Jamani mi natumia bb 9700, pls msaada jinsi ya kublock namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…