Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,511
Kutumia tu bhs
Okay, naona kama unajipa gharama kuagiza simu moja tu.
Good morning wanafamilia bila kupoteza muda, naomba msaada wa kuagza simu nje anaejua au fahamu web nzuri ya kuagza mzigo classic bila figisu anisaidie web pamoja shipping cost zake.
Kununua sim bongo sahv ni mtihan nyingi ni refurbished watakwambia mpya.
Bora ununue refurb bongo utaitumia ikisumbua unairudsha ulpochukua,sasa uagze cm nje alaf ifke unatumia mwez inaanza kusumbua utaituma tena nje?
Bora ununue refurb bongo utaitumia ikisumbua unairudsha ulpochukua,sasa uagze cm nje alaf ifke unatumia mwez inaanza kusumbua utaituma tena nje?
Gharama zinakuaje boss
Kama unanunua brand za Usa kwa bei ya chini utapata site za Usa kama Amazon, kama ni brand ya China unapata Aliexpress etc. Hakuna formula maalumu ama bei maalumu ya vifaa au shiping cost.Good morning wanafamilia bila kupoteza muda, naomba msaada wa kuagza simu nje anaejua au fahamu web nzuri ya kuagza mzigo classic bila figisu anisaidie web pamoja shipping cost zake.
Kununua sim bongo sahv ni mtihan nyingi ni refurbished watakwambia mpya.