Ndiyo hivyo. Yani kama umepata chuo na mkopo mwaka huu ukasema kuwa utakuja chuo mwakani, zile haki zako za chuo na za mkopo haziahami. Ila nadhani kuna special case ambayo mtu anaweza kuruhusiwa kuahirisha chuo, lakini ni lazima awe amekwisha anza na agalau amesoma hata semester moja...