Msaada jinsi ya ku-update smartphone manually

Yangu iko hivi hata siielewi,Na hiki kipengele cha system update kila nikikigusa hakuna jambo kama vile kiko blank yani
 
Duuuuh mbn yangu Android 10 ila niliupdate ila bado imebaki palepale ngoja nitafute manually
Bora hata wewe mwenye 10,mimi nina 5.1 yani kama vile wenzangu mko kwenye future mi niko miaka yesu duniani.
 
Duuuuh mbn yangu Android 10 ila niliupdate ila bado imebaki palepale ngoja nitafute manually
Ni simu gani? Kumbuka kuwa company iliyotengeneza simu yako ni lazima iwe imetoa hyo update ndio utaiona. Wengine hawatoi ndio maana unakuta unapata security patches na bug fixes lakini huoni operating system update.
 
Ni hii oppo F1 plus mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…