Sir Hemedi
Senior Member
- Sep 28, 2016
- 112
- 120
Nina simu tajwa hapo juu [ Samsung Galaxy A6+} lakini imelockiwa kuwa ni ya nchini India hivyo haikubali laini ya mtandao wowote hapa Tanzania. Je kuna uwezekano wq kui-unlock ili itumie laini za mitandao ya hapa Tanzania. Msaada Tafadahli.
Nimeambatanisha na screenshots za Infos.
Nimeambatanisha na screenshots za Infos.