Ngumu kumeza JF-Expert Member Joined Jun 19, 2012 Posts 577 Reaction score 354 Mar 2, 2019 #1 Habari wakuu Niende kwenye mada moja kwa moja, wakuu naomba msaada wenu kuelekezwa namna ya kutoa lock kwenye simu yangu nimesahau password. Natanguliza shukrani.
Habari wakuu Niende kwenye mada moja kwa moja, wakuu naomba msaada wenu kuelekezwa namna ya kutoa lock kwenye simu yangu nimesahau password. Natanguliza shukrani.
PANTHERA LEO JF-Expert Member Joined Jan 25, 2019 Posts 2,307 Reaction score 3,447 Mar 2, 2019 #2 Njia nzuri ni kurudisha simu uliyo iba.. ila kama yakwako tumia email.. Sent using Jamii Forums mobile app
Njia nzuri ni kurudisha simu uliyo iba.. ila kama yakwako tumia email.. Sent using Jamii Forums mobile app