ukiset kwa mara ya kwanza hio application unaambiwa ueke pin, maybe wewe uliimisconcept na password. ili kuipata tena hio app unatakiwa uipige hio pin kama namba ya simu.
mfano ulieka pin 7171 basi nenda sehemu ya kupigia simu andika 7171 kisha ipige utaona application inafunguka then eka details upya