K Kabusinja Member Joined Dec 3, 2012 Posts 6 Reaction score 0 Dec 4, 2012 #1 Wakuu kuna baadhi ya apps nilizoshusha kutoka google Playstore, na kuna baadhi nahitaji kuzi uninstall kwa kutumia njia ya kawaida ya application manager lakini zinagoma kabisa. Msaada tafadhali wakuu. Natumia Sony Ericson experie arc.
Wakuu kuna baadhi ya apps nilizoshusha kutoka google Playstore, na kuna baadhi nahitaji kuzi uninstall kwa kutumia njia ya kawaida ya application manager lakini zinagoma kabisa. Msaada tafadhali wakuu. Natumia Sony Ericson experie arc.