Anthony Threedeyea JF-Expert Member Joined May 29, 2013 Posts 471 Reaction score 48 Mar 8, 2014 #1 nimejalibu mara kadhaa nimeshindwa ....
Njunwa Wamavoko JF-Expert Member Joined Aug 11, 2012 Posts 5,757 Reaction score 2,388 Mar 8, 2014 #2 anthonydan said: nimejalibu mara kadhaa nimeshindwa .... Click to expand... Mkuu unajua maana ya ku Root simu? Kama unataka kuibadilisha Tecno P3 Kutoka Gingerbread kuja jellybean basi itabidi kuiroot kwanza hiyo simu ukisha root sasa ndo uflash hiyo simu kwa kuwekea CUSTOM ROM yenye Jellybean Kuongeza ufahamu kuhusu ku root simu soma https://www.jamiiforums.com/tech-ga...-an-african-woman-not-bearing-children-3.html Weekend njema
anthonydan said: nimejalibu mara kadhaa nimeshindwa .... Click to expand... Mkuu unajua maana ya ku Root simu? Kama unataka kuibadilisha Tecno P3 Kutoka Gingerbread kuja jellybean basi itabidi kuiroot kwanza hiyo simu ukisha root sasa ndo uflash hiyo simu kwa kuwekea CUSTOM ROM yenye Jellybean Kuongeza ufahamu kuhusu ku root simu soma https://www.jamiiforums.com/tech-ga...-an-african-woman-not-bearing-children-3.html Weekend njema
Krama JF-Expert Member Joined Mar 2, 2011 Posts 293 Reaction score 80 Mar 9, 2014 #3 its hard kuupgrade tecno p3, czani kama hyo kitu inawezekana asee, sorry.
Njunwa Wamavoko JF-Expert Member Joined Aug 11, 2012 Posts 5,757 Reaction score 2,388 Mar 9, 2014 #4 Krama said: its hard kuupgrade tecno p3, czani kama hyo kitu inawezekana asee, sorry. Click to expand... Inawezekana google utaoba jibu ambapo ni kutumia custom ROM
Krama said: its hard kuupgrade tecno p3, czani kama hyo kitu inawezekana asee, sorry. Click to expand... Inawezekana google utaoba jibu ambapo ni kutumia custom ROM