mtafutaji kiongozi
Member
- Feb 17, 2015
- 35
- 11
Wanajamvi nina simu aina ya tecno h5 android version 4.2.2 (jelly bean ) nataka kuiwekea rom mpya ya kitkat 4.4.2 naombeni msaada jinsi ya kuroot iyo cm na kuweka custom rom inayo faa nisije uwa simu angu! Pia ningependa kujua app ipi ya ku root mungependekeza niitumia kulingana na sim angu? Ahsanten
jaribu towel root ikigoma tumia frama root..ikizngua malizia na root genious hii haikatai simu hasa mediatek
jaribu towel root ikigoma tumia frama root..ikizngua malizia na root genious hii haikatai simu hasa mediatek
Lakini ipo ROM ya kitkat kwa ajili ya hiyo tecno? Atafute kwanza ROM ya model ya tecno yake kabla ya kufanya chochote.
Ndo unipe mwongozo mkuu cjui nianzie wapi
Lakini ipo ROM ya kitkat kwa ajili ya hiyo tecno?
Msaada nina simu yangu lg lu6200 Korea version.... nimeroot tayari sasa nataka kuweka ROM kitkat now it ruunning Jellybean 4.1.2.....sasa kimbembe kinakuja katika kuweka CWM RECOVERY.....nimetumia method walizoweka kule XDA lakini imegoma naomba msada hapo namna yakufanya Mwl.RCTUkisha root na kuinstall clockworkmod ROM manager kwenye simu yako ingia hapa na kufuata maekekezo.