msaada jinsi ya ku flash modem za sasatel hizi cdma

msaada jinsi ya ku flash modem za sasatel hizi cdma

Kakakuona

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
345
Reaction score
201
Wakuu anajua kuflash hizi modem za sasatel huawei cdma ambazo hautumii line ila zina sehemu ya kuweka line.natanguliza shukrani..
 
Hizo mkuu ni tatizo mi mwenyewe nnayo nimeipaki tu afu afu hata ukiiunlock itakubali kusoma line za cdma kama tccl,zanteln na sasatel yenyewe tu bac!
 
Breaking News:Sasatel yafa Rasmi.
Noma sana kuna mshikaji flani namjua aliacha kazi kwa mbwembwe akaenda Sasatel nadhani na yeye atakuwa anapumulia mashine,vijana wengi wanapenda sana maendeleo ya harakaharaka yakija makampuni mapya anakimbilia tu bila kutafakari anaacha sehemu aliyekuwepo miaka miwili anaenda kwenye kampuni ambayo haijui ina background gani anatema Big G kwa karanga za kuonjeshwa,Kuna kampuni ilikuja miaka ya 2008 inaitwa Hits Tanzania kampuni ya simu ilikuwa na prefix 0741xxxxxx ilinyang'anya wafanyakazi wengi kutoka kampuni za simu watu walikimbilia kisa walikuwa wanaenda kulipwa $3000 wakaacha kazi za huku walipokuwa wanalipwa 1.3m baada ya miezi mi3 wakakumbana na mtikisiko wa uchumi kampuni ikafa wakaanza kuemea mashine ahmad wengine wakapata zari wakaenda Equatorial Guine ndio ikawa manusura otherwise ilikuwa aibu maana walikuwa wamekaa miezi mi3 bila mshaara ikabidi wengine wakaanza kuuza magari yao haya makampuni mapya yanayokuja ni majanga sio mazuri kukimbilia...RIP sasatel
 
Haiwezi kufanya kazi na mitandao ya GSM hiyo hata ufanye mini, Ni tech tofauti upande wa hardware.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom